Recent News

KIST YAFANYA MAZUNGUMZO NA WAWAKILISHI KUTOKA UBALOZI WA URUSI.

2023-10-19 10:15:54 category

Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Urusi (Russian), Bibi Maria Pateeva akimkabidhi Zawadi Maalum, Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi huko Ofisini kwake, katika Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.