Recent News

WAZIRI KHALID ATIMIZA AHADI KWA WANAFUNZI WA KIST.

2024-04-17 14:23:14 category

Viongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), wakizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Karume waliofanya vizuri katika Masomo yao, kabla ya kuwakabidhi  Zawadi ya Fedha iliyotolewa na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi  Mhe. Dt. Khalid Salum Mohamed, hii ni ahadi aliyoitowa  akiwa Mgeni rasmin katika Mahafali ya tisa (9), ya Chuo cha Karume.