Recent News

KAMPUNI YA IDOM IKISHIRIKIANA NA KIST KUFANYA UTAFITI WA KUBORESHA USAFIRI WA KISASA WA ABIRIA.

2024-04-17 10:57:06 category

Hafla ya utoaji Vyeti na Ripoti ya utafiti wa kuboresha Usafiri wa kisasa wa abiria (Daladala), Zanzibar uliyoshirikisha Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), pamoja na Kampuni ya IDOM kutoka SPAIN, Mgeni rasmin katika hafla hiyo ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi  Mhe. Nadir Abdullatif  Yussuf.