Recent News

KIST YASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA NYAMANZI.

2024-01-18 12:36:54 category

MAONESHO YA BIASHARA NYAMANZI.
Wananchi pamoja na Viongozi kutoka maeneo mbali mbali wamefika katika Banda la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), ili kujionea ubunifu uliyofanywa na  Wanafunzi wa Chuo cha Karume, katika maonesho ya kumi ya Kitaifa ya Biashara yanayoendelea Nyamanzi Zanzibar.
KARIBU KATIKA BANDA LETU TUKUHUDUMIYE TUPO NYAMANZI.