Recent News

WADAU MBALI MBAL;I WAJADILI MTAALA MPYA KIST.

2023-11-06 09:17:00 category

Kaimu Mkuu Idara ya Eletroniki, Mawasiliano ya Anga na Kompyuta Dkt. Zuhura Juma Ali, kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), akifungua Kikao cha kujadili Mtaala Mpya wa Shahada ya kwanza katika fani ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia, pamoja na Media Anuai (Bachelor Degree of Information Communication Technology with Multimedia Development ), katika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hijja, uliopo Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.