Recent News

KIST WAFANYA MAZUNGUMZO NA NEST 360.

2023-10-27 09:03:16 category

Uongozi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST). Umefanya mazungumzo na Wawakilishi kutoka mpango wa Kimataifa wa kupunguza vifo vya Watoto Wachanga, NEST 360, (Newborn Essential Solutions and Technologies), kwa lengo la kuendeleza Ushirikiano wa kitaaluma katika Mitaala ya Uhandisi wa Vifaa tiba ili kupata Waatalam wa Vifaa tiba.