Recent News

DKT.PHILIP MPANGO AONGOZA UHAMASISHAJI UPANDAJI MITI KITAIFA KIST.

2024-02-09 15:03:42 category

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi wa kwanza (kulia) akimpokea Mgeni Rasmin ambae ni Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika hafla ya uhamasishaji wa upandaji Miti Kitaifa, katika eneo la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST).