Recent News

KIST YAPOKEA UGENI KUTOKA KAMPUNI YA OUR WORLD ZANZIBAR.

2024-02-16 15:44:09 category

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mahmoud Abdulwahab Alawi amepokea ugeni kutoka kampuni ya OUR World Zanzibar, inayojishuhulisha na Uwekezaji huru wa kidigitali.

 Kampuni hiyo imeonesha nia ya kushirikiana na Taasisi ya Karume na kupeana uzoefu katika kazi mbalimbali za kidigitali.